UN News Kiswahili Habari za UN New York Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa inatangaza habari kila siku kwa lugha ya Kiswahili, Kiarabu, Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kireno, Kirusi na Kihispania. Na mara moja kwa wiki inakuwa na vipindi vya lugha ya French Creole, Kibengal, Kihindi, Urdu na kiindonesia. Radio ya UM inabadilisha taarifa zake kutokan na habari mpya zinavyokuja kila mara kwa siku. Pia inaandaa makala na kufanya uchambuzi wa mada mbalimbali za kijamii, kisiasa, kiuchumi, maendeleo na masuala yanayohusu tamaduni yanyohusisha Umoja wa Mataifa na kazi zake. Vipindi vya Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa au UNNews viko vingi na ni kuanzia habari, makala, vipindi maalumu na taarifa za habari za kila siku na zile za kila wiki. Na vipindi vyote hivyo vinaweza kutumiwa na vyombo vingine vya habari au watangazaji, na vinaweza kutumiwa kama chanzo cha habari kwa waandishi. binafsi.Na kwa kuongezea tuu ni kwamba vipindi vyote hivyo na sauti zingine kwenye tovuti yetu vinatolewa bure bila malipo yoyote. Unaweza pia kujisajli kwenye ukurasa wetu ili upokee taarifa kila wakati zinapochapishwa. Kwa uchaguzi zaidi wa ushirikiano usisite kuwasilina nasi. UN News Kiswahili’s tracks Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa methali “Mke ni nguomgomba ni kupalilia” by UN News Kiswahili published on 2024-09-19T15:37:58Z JARIDA LA HABARI ZA UN 19 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-19T15:35:10Z Pamoja na kuahirisha uchaguzi tunachoimbea Sudan Kusini ni amani: FAO Meshack Malo by UN News Kiswahili published on 2024-09-18T15:23:18Z JARIDA LA HABARI ZA UN 18 SEPTEMBA 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-09-18T15:17:54Z JARIDA LA HABARI ZA UN 17 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-17T15:03:31Z Nilichokishuhudia Maiduguri Nigeria ni zahma kubwa: WFP Bigenimana by UN News Kiswahili published on 2024-09-16T16:19:19Z JARIDA LA HABARI ZA UN 16 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-16T15:30:50Z Tanzania yang'ara katika ulinzi wa amani nchini Afrika ya Kati, CAR by UN News Kiswahili published on 2024-09-13T16:04:26Z JARIDA LA HABARI ZA UN 13 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-13T15:47:52Z Jifunze Kiswahili: Maana ya neno “KILIWAZO”. by UN News Kiswahili published on 2024-09-12T15:13:02Z
Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa methali “Mke ni nguomgomba ni kupalilia” by UN News Kiswahili published on 2024-09-19T15:37:58Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 19 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-19T15:35:10Z
Pamoja na kuahirisha uchaguzi tunachoimbea Sudan Kusini ni amani: FAO Meshack Malo by UN News Kiswahili published on 2024-09-18T15:23:18Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 18 SEPTEMBA 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-09-18T15:17:54Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 17 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-17T15:03:31Z
Nilichokishuhudia Maiduguri Nigeria ni zahma kubwa: WFP Bigenimana by UN News Kiswahili published on 2024-09-16T16:19:19Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 16 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-16T15:30:50Z
Tanzania yang'ara katika ulinzi wa amani nchini Afrika ya Kati, CAR by UN News Kiswahili published on 2024-09-13T16:04:26Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 13 SEPTEMBA 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-09-13T15:47:52Z