1964
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1960 |
1961 |
1962 |
1963 |
1964
| 1965
| 1966
| 1967
| 1968
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1964 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 26 Aprili - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
- 6 Julai - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 24 Oktoba - Nchi ya Zambia inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 17 Januari - Michelle Obama, Mwanamke wa Kwanza wa Marekani tangu 2009
- 30 Machi - Tracy Chapman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 6 Aprili - David Woodard, mwandishi na mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Aprili - Djimon Hounsou, mwigizaji filamu kutoka Benin
- 27 Mei - Adam Carolla, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 11 Juni - Jean Garcia, muigizaji wa tamthiliya
- 1 Julai - Guillermo Martín Abanto Guzmán, askofu msaidizi wa Kanisa Katoliki nchini Peru
- 22 Julai - David Spade, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Julai - Sandra Bullock, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Agosti - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
- 8 Agosti - Klaus Ebner, mwandishi wa Kijerumani kutoka Austria
- 18 Agosti - Jim Florentine, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2 Septemba - Keanu Reeves, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 7 Septemba - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani
- 16 Septemba - Molly Shannon, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Septemba - Monica Bellucci, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 10 Oktoba - Quinton Flynn, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Oktoba - Yvette Nipar, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 7 Novemba - Corrado Sanguineti, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 14 Novemba - Patrick Warburton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 9 Machi - Paul von Lettow-Vorbeck, mwanajeshi wa Dola la Ujerumani, hasa nchini Tanzania
- 24 Aprili - Gerhard Domagk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939
- 21 Mei - James Franck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925
- 3 Juni - Frans Eemil Sillanpää, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1939
- 20 Oktoba - Herbert Hoover, Rais wa Marekani (1929-1933)
- 7 Novemba - Hans von Euler-Chelpin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929
- 17 Desemba - Victor Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: