Content-Length: 98857 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Joseph_Brodsky

Joseph Brodsky - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Joseph Brodsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joseph Brodsky

Amezaliwa Iosif Aleksandrovich Brodsky
24 Mei 1940
Leningrad, Urusi
Amekufa 28 Januari 1996
New York
Nchi Urusi
Kazi yake Mshairi, Mwandishi


Joseph Aleksandrovich Brodsky (24 Mei 194028 Januari 1996) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Urusi. Kuanzia mwaka wa 1972 aliishi nchini Marekani. Mwaka wa 1987 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Brodsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Joseph_Brodsky

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy