Content-Length: 104091 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Kichechen

Kichechen - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kichechen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichechen ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wachechen. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichechen nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1,350,000. Wachechen wengi, takriban laki moja, wamekimbia nchi yao na kuishi katika nchi za Kazakhstan, Kirgizia, Georgia na nyingine za Asia ya Kati, Mashariki ya Kati au Ulaya. Idadi ya wasemaji katika nchi hizo hazijulikani, ila mwaka wa 2013, wasemaji 3200 walihesabiwa nchini Yordani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichechen iko katika kundi la Kinakh.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichechen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Kichechen

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy