Content-Length: 52502 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Kiyanyuwa

Kiyanyuwa - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kiyanyuwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyanyuwa ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayanyuwa katika majimbo ya Northern Territory na Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyanyuwa ilihesabiwa kuwa watu 120. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyanyuwa kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyanyuwa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyanyuwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Kiyanyuwa

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy