Michael Ballack
Michael Ballack | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Michael Ballack |
Alizaliwa | 26 Septemba 1976 |
Nchi | Ujerumani |
Kazi yake | Mchezaji mpira wa miguu |
Tovuti rasmi | www.michaelballack.com |
Michael Ballack (amezaliwa 26 Septemba 1976 mjini Görlitz katika mkoa wa Saxony, Ujerumani) alikuwa mchezaji mashuhuri duniani wa mpira wa miguu wa Ujerumani na pia kiongozi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani. Alichezea katikati uwanjani.
Klabu ya mwanzo kabisa inaitwa Chemnitz,Klabu zingine mashuhuri alichezea ni Bayer Leverkusen na FC Bayern Munich na kwa sasa anachezea Chelsea. Alipata mchezaji bora Ujeruamni mara tatu,mchezaji bora wa katika kati Ulaya na zawadi zingine nyingi. Klabu zote Michael Ballack anazochezea hua anaonekana kiungo muhimu sana katika timu nakuonekana kua anaweza saidia timu kunyakua ubingwa. Nakatika Klabu ya Chelsea anavaa jezi namba 13 na kwenye timu ya Taifa pia ndio namba anayoipenda.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 24 Februari 2014 kwenye Wayback Machine.
- Profile at Chelsea FC site
- Profile at FC Bayern Munich site
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Ballack kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |