Content-Length: 146934 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Papa_Eugenio_I

Papa Eugenio I - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Papa Eugenio I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Eugenio I.

Papa Eugenio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Baba yake aliitwa Rufinianus.

Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian.

Serikali ya Dola la Roma Mashariki ilimpitisha kwa kudhani atakubali kuunga mkono uzushi uliofundisha kuwa Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu, kumbe mapadri walimlazimisha kushika msimamo wa mtangulizi wake aliyepelekwa uhamishoni akafa huko.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Juni.[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • The Book of Saints, by the Ramsgate Benedictine Monks of St. Augustine's Abbey

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Papa_Eugenio_I

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy