Content-Length: 84338 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/UN_Women

UN Women - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

UN Women

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

UN Women ni shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika kuwawezesha na kutetea haki na usawa kwa wanawake na wasichana, pamoja na upingaji wa vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake.

Shirika hili la kimataifa la uwewezeshaji Wanawake Duniani lilianzishwa mnamo mwaka 1976 na kutambuliwa rasmi mwaka 1976 na kuanza kufanya kazi zake rasmi mnamo mwezi Januari mwaka 2011 .[1] Raisi mstaafu wa Chile Michelle Bachelet alikuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika hili, na Sima Sami Bahous ni mkurugenzi mtendaji wa shirika hili kwa sasa.[2] Shirika hili pia ni mwanachama wa kundi la kimaendeleo la umoja wa Mataifa .[3]

  1. "Frequently Asked Questions". UN Women - Asia and the Pacific. Iliwekwa mnamo 20 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Gender equality 'champion' Sima Sami Bahous to lead UN Women". UN News (kwa Kiingereza). 2021-09-13. Iliwekwa mnamo 2021-09-17.
  3. "UNDG Members". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-11. Iliwekwa mnamo 2023-01-16. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/UN_Women

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy