Vichy
Mandhari
Vichy | |
Mahali pa mji wa Vichy katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 46°07′40″N 3°25′36″E / 46.12778°N 3.42667°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Auvergne |
Wilaya | Allier |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 80,194 |
Tovuti: www.ville-vichy.fr |
Vichy ni mji wa Ufaransa. Baada ya kushindwa kwa Ufaransa na Ujerumani mwaka 1940 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwa makao makuu ya serikali ya Vichy chini ya jenerali Petain iliyotawala sehemu za nchi zisizotwaliwa bado na Ujerumani pamoja na koloni hadi 1944.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vichy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |