Content-Length: 109796 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Daman_na_Diu

Daman na Diu - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Daman na Diu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa la Mt. Paulo huko Diu.

Daman na Diu ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Katikati ya miji hiyo miwili ya pwani kuna kilometa 650.

Eneo lote ni la kilometa mraba 102.

Kwa zaidi ya miaka 450 ilikuwa koloni la Ureno pamoja na Goa, hadi ilipovamiwa na kumezwa na India mwaka 1961. Mwaka 1987 Goa ilipata kuwa jimbo la kujitegemea.

Makao makuu ni Daman.

Wakazi ni 242,911 (2011).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Daman and Diu travel guide kutoka Wikisafiri









ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Daman_na_Diu

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy