Content-Length: 95132 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto_Oder

Mto Oder - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mto Oder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Oder karibu na Kienitz, Ujerumani
Chanzo Chekoslovakia
Mdomo Bahari Baltiki
Nchi Chekoslovakia, Poland, Ujerumani
Urefu km 866
Kimo cha chanzo mita 634
Miji mikubwa kando lake Ostrava, Opole, Breslau, Zielona Góra, Frankfurt (Oder), Stettin
Beseni ya mto Oder - Odra

Mto Oder (kwa Kicheki na Kipoland: Odra) ni mto wa Ulaya ya Kati.

Chanzo chake kipo katika Jamhuri ya Kicheki, inapita katika Silesia (Poland) hadi kuwa mpaka baina ya Ujerumani na Poland. Kilomita chache kabla ya kuishia katika Bahari Baltiki unaingia tena ndani ya Poland ukipita mjini Stettin - Szczecin hadi kufika baharini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Oder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto_Oder

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy