Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts
Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Institute of Technology MIT) ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa Cambridge karibu na Boston katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32.[1] Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.
Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na tuzo za Nobel 63.[2][3].
Viungo vya Nje
hariri- MIT Tovuti rasmi ya MIT
- MyMIT Ukurasa wa kupokea wanafunzi
- MIT Alumni Association
Vyanzo
hariri- MIT OpenCourseWare, Free online publication of nearly all MIT course materials
- The Tech Ilihifadhiwa 13 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine., student newspaper, the world's first newspaper on the web
- Tech Talk, MIT's official newspaper
- Technology Review, alumni magazine
- MIT Press, university press & publisher
Ramani
hariri- MIT Maps Ilihifadhiwa 5 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Early Maps of both the Boston and Cambridge Campuses Ilihifadhiwa 6 Mei 2010 kwenye Wayback Machine. maintained by MIT's Institute Archives & Special Collections
Marejeo
hariri- ↑ "MIT Facts 2007: Academic Schools and Departments, Divisions & Sections". Iliwekwa mnamo 2007-02-14.
- ↑ "Three from MIT win top U.S. science, technology honors", MIT News Office, 19 Julai 2007. Retrieved on 2007-07-20.
- ↑ MIT Office of Provost, Institutional Research. "MIT MacArthur Fellows". Iliwekwa mnamo 2006-12-16.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |