(marekebisho 4 ya kati na watumizi wengine 3 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
'''Dola''' (kutoka [[Ar.]] '''دولة''' ''daulat''; ''nchi, serikali, taifa; [[Ing.|ing]]. ''state) ni utaratibu wa kisiasa wa jamii katika eneo fulani.
==Ufafanuzi wa "Dola"==
Mstari 7:
** taifa au watu wa dola na
** mamlaka ya dola juu ya watu na eneo lake.
* [[elimu jamii]] hufundisha kufuatana na [[Max Weber]] dola kuwa jumuiya au jamii ambayo ina mamlaka ya kukubalika ya pekee katika eneo fulani; hivyo ni uhusiano wa utawala wa watu juu ya watu unaofuata haki na shariasheria.
* elimu [[siasa]] hufundisha dola kuwa muundo wa mamlaka ya umma kwa ajili ya kuratibu mambo ya umma.
* falsafa hufundisha dola kuwa utekelezaji wa shabaha za kimaadili za kila mtu na jamii kwa pamoja; Hegel alisema dola ni mwendo wa Mungu katika historia; msingi wake ni akili inayotaka kuwa uhalisia.
==Aina za Dola==
Dola hutokea kwa maumbo mbalimbali kwa mfano [[jamhuri]] au [[ufalme]]. Dola inaweza kujitegemea kabisa au kuwa sehemu ya [[shirikisho]] au muungano kama [[Muungano wa Madola ya Amerika]]. Ndani ya maumbo haya kuna njia mbalimbali za kutekeleza mamlaka na kuratibu serikali kwa mfano kwa njia ya [[demokrasia]] au [[udikteta]].