Dola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Link suggestions feature: 3 links added.
 
Mstari 8:
** mamlaka ya dola juu ya watu na eneo lake.
* [[elimu jamii]] hufundisha kufuatana na [[Max Weber]] dola kuwa jumuiya au jamii ambayo ina mamlaka ya kukubalika ya pekee katika eneo fulani; hivyo ni uhusiano wa utawala wa watu juu ya watu unaofuata haki na sheria.
* elimu [[siasa]] hufundisha dola kuwa muundo wa mamlaka ya umma kwa ajili ya kuratibu mambo ya umma.
* falsafa hufundisha dola kuwa utekelezaji wa shabaha za kimaadili za kila mtu na jamii kwa pamoja; Hegel alisema dola ni mwendo wa Mungu katika historia; msingi wake ni akili inayotaka kuwa uhalisia.
 
==Aina za Dola==
Dola hutokea kwa maumbo mbalimbali kwa mfano [[jamhuri]] au [[ufalme]]. Dola inaweza kujitegemea kabisa au kuwa sehemu ya [[shirikisho]] au muungano kama [[Muungano wa Madola ya Amerika]]. Ndani ya maumbo haya kuna njia mbalimbali za kutekeleza mamlaka na kuratibu serikali kwa mfano kwa njia ya [[demokrasia]] au [[udikteta]].
 
==Vyombo vya Dola==
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy