1837
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1800 |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830
| Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| ►
◄◄ |
◄ |
1833 |
1834 |
1835 |
1836 |
1837
| 1838
| 1839
| 1840
| 1841
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1837 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 2 Januari - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 18 Machi - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)
- 21 Aprili - Fredrik Bajer (mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 5 Novemba - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
- 23 Novemba - Johannes Diderik van der Waals, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1910
bila tarehe
- Hamed bin Mohammed el Murjebi, mfanyabiashara wa Tanzania na mwandishi wa tawasifu wa kwanza wa Kiswahili
Waliofariki
hariri- 23 Januari - John Field, mtunzi wa opera kutoka Eire
- 10 Februari - Aleksander Pushkin, mwandishi kutoka Urusi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: