1923
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| ►
◄◄ |
◄ |
1919 |
1920 |
1921 |
1922 |
1923
| 1924
| 1925
| 1926
| 1927
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1923 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 1 Septemba - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu 140,000.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 16 Januari - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani
- 24 Januari - Santha Rama Rau, mwandishi kutoka Uhindi
- 25 Januari - Arvid Carlsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 31 Januari - Norman Mailer, mwandishi kutoka Marekani
- 4 Februari - Conrad Bain, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Februari - Alan Dugan, mshairi kutoka Marekani
- 5 Machi - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 9 Machi - Walter Kohn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 10 Machi - Val Fitch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980
- 27 Machi - Louis Simpson, mshairi kutoka Marekani
- 2 Julai - Wislawa Szymborska, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1996
- 21 Julai - Rudolph Marcus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1992
- 22 Julai - Bob Dole, mwanasiasa kutoka Marekani
- 15 Agosti - Rose Marie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Septemba - Carleton Gajdusek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1976
- 8 Novemba - Jack Kilby, mhandisi umeme kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2000
- 9 Novemba - James Schuyler, mshairi kutoka Marekani
- 20 Novemba - Nadine Gordimer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1991
- 13 Desemba - Philip Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
Waliofariki
hariri- 10 Februari - Wilhelm Conrad Röntgen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901
- 8 Machi - Johannes Diderik van der Waals, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1910
- 26 Machi - Sarah Bernhardt, mwigizaji tamthilia kutoka Ufaransa
- 2 Agosti - Warren G. Harding, Rais wa Marekani (1921-23)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: