Ajeriki (pia: Airy; Harville, 535 hivi - karibu na Verdun, Galia Kaskazini, leo Ufaransa, 588) alikuwa askofu wa mji huo.

Alijenga makanisa na mabatizio. Pia alisumbuliwa sana na mfalme Theodoriki kwa sababu aligeuza kanisa lake kuwa kimbilio la waliodhulumiwa [1].

Alisifiwa na rafiki yake askofu Gregori wa Tours.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy