Atalia (kwa Kiebrania: עֲתַלְיָה, ʻĂṯalyâ, "Mungu anainuliwa"[1]) alikuwa malkia wa ufalme wa Yuda kama mke wa mfalme Yehoramu wa Yuda, aliyekuwa wa ukoo wa David.

Malkia Atalia kadiri ya Guillaume Rouillé, 1553.
Gustave Doré, Kifo cha Atalia.

Baada ya huyo kufa, alijitwalia madaraka kinyume cha taratibu na kwa ukatili mkubwa (2Fal 11:1)[2] akatawala miaka 841835 KK, mpaka alipopinduliwa na kuuawa (2Fal 11:14-16; 2Nya 23:12-15).

Binti au dada wa mfalme Ahabu wa Israeli, alijitahidi kueneza ibada kwa Baali na miungu mingine dhidi ya YHWH, Mungu pekee wa dini ya Musa.

Tanbihi

hariri
  1. H. J. Katzenstein, "Who Were the Parents of Athaliah?" Israel Exploration Journal 5 (1955) 194-197; Winfried Thiel, "Athaliah" in Anchor Bible Dictionary, David Noel Freedman and Gary A. Herion, editors (New York: Doubleday, 1992) 511-512; and R.C. Klein "Queen Athaliah daughter of Ahab or Omri", Jewish Bible Quarterly 42:1 (2014) (available online on Reb Chaim HaQoton
  2. Brenner, Athalya. "Athaliah", Jewish Women's Archive
  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Atalia kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy