Kationi (+) kutoka neno la Kigiriki κάτω (káto), likimaanisha "chini") ni ioni iliyo na elektroni chache kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji chanya.

Atomi ya haidrojeni (kati) ina protoni moja na elektroni moja. Kuondolewa kwa elektroni kunaunda kationi (kushoto), wakati kuongezwa kwa elektroni kunaunda anioni (kulia).

Katika chombo cha elektrolisisi huvutiwa kwenye kathodi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kationi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy