Wafanyakazi

(Elekezwa kutoka Mfanyakazi)

Wafanyakazi (kwa Kiingereza "workers") ni watu walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata malipo kadiri ya makubaliano na mwajiri.

Wafanyakazi wa sekta ya afya wakiwa wamevalia barakoa ya kinga dhidi ya virusi vya Corona huko Kerala, India.

Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na mwongozo kutoka kwa wakuu wao wa kazi.

Pengine neno hilo linataja wafanyakazi waliojiajiri, yaani wale ambao wameanzisha biashara zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na ununuzi wa biashara hizo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafanyakazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy