Yohane Sarkander, S.J. (Skoczów, Silesia, leo nchini Polandi, 20 Desemba 1576Olomouc, Moravia, leo nchini Ucheki, 17 Machi 1620) alikuwa padri wa Shirika la Yesu[1][2] aliyeuawa kwa kukataa kutoboa siri ya kitubio hata katika mateso makali ya mwezi mzima aliyoyapata kutoka kwa Waprotestanti[3][4].

Mt. Yohane Sarkander alivyochorwa.

Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 6 Mei 1860, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 21 Mei 1995.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Saint Jan Sarkander". Saints SQPN. 31 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Saint John Sarkander". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "St. John Sarkander". Saint Kateri. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-15. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/45825
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy