Den Haag : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza pa:ਹੇਗ |
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza qu:Den Haag |
||
Mstari 100: | Mstari 100: | ||
[[pnb:ہیگ]] |
[[pnb:ہیگ]] |
||
[[pt:Haia]] |
[[pt:Haia]] |
||
[[qu:Den Haag]] |
|||
[[ro:Haga]] |
[[ro:Haga]] |
||
[[ru:Гаага]] |
[[ru:Гаага]] |
Pitio la 00:44, 11 Januari 2013
Den Haag (Kiholanzi pia: 's-Gravenhage) mji mkubwa wa tatu wa Uholanzi baada ya Amsterdam na Rotterdam. Kuna wakazi 472,087 (January 1 2005) kwenye eneo la 100 km². Iko upande wa magharibi ya nchi katika jimbo la Uholanzi ya Kusini pia ni ,akao makuu ya jimbo hilo.
Mji mkuu hali halisi
Hali halisi Den Haag ina nafasi na wajibu nyingi za mji mkuu hata kama cheo hiki kimetengwa kwa Amsterdam. Lakini Den Haag ni makao ya serikali, makao ya bunge, makao ya mahakama kuu pia makao ya mfalme au malkia tangu 1831. Balozi zote za nje ziko hapa pia.
Taasisi za Kimataifa
Den Haag ni makao ya taasisi 150 za kimataifa. Hii ni tokeo la siasa ya Uholanzi ya miaka mingi ya kutoshikamana na upande wowote.
Kati ya taasisi zinazojulikana zaidi ni:
- Mahakama Kuu ya Kimataifa ya UM
- Mahakama kwa Yugoslavia ya zamani
- Mahakama ya Kimataifa ya Upatanishi
- Shirika kwa maharamisho ya silaha ya kikemia
- Mahakama ya kimataifa ya jinai
- Shirika ya Polisi ya Ulaya (Europol)
Picha za Den Haag
-
Bwawa mbele ya bunge
-
Hoftoren ni jengo kubwa la Den Haag
-
Manisipaa mpya
-
Nyumba za ghorofa kitovuni ya mji
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Den Haag kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |