Nenda kwa yaliyomo

Asia ya Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Asia Kusini)
Asia ya Kusini

Asia ya Kusini ni sehemu ya Asia yenye nchi zifuatazo:

halafu nchi za visiwani

Umoja wa Mataifa umehesabu pia Afghanistan na Uajemi katika kanda hili.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Kusini jinsi ilivyoelezwa hapo juu (bila Uajemi na Afghanistan) ni karibu sawa na Bara Hindi. Tofauti ni ya kwamba Asia ya Kusini hujumuisha nchi zinazotajwa ilhali Bara Hindi ni eneo linalokaa ju ya bamba la Uhindi. Kuna sehemu hasa za Pakistan yasiyo juu ya bambala Uhindi bali kwenye mitelemko ya nyanda za juu za Uajemi.

Asia ya Kusini imetengwa na maeneo mengine ya Asia kwa safu za milima mikubwa.

Eneo lake ni takriban kilomita za mraba milioni 4,5 au 10 % za bara lote la Asia. Takriban 20 % za wakazi wa dunia huishi hapo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy