0% found this document useful (0 votes)
2K views8 pages

Tahasusi Na KADA Zake-1

Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
2K views8 pages

Tahasusi Na KADA Zake-1

Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 8

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TAASISI YA ELIMU TANZANIA

Simu : +255735041168 Eneo la Mikocheni,


: +255735041170 132 Barabara ya Ali Hasan Mwinyi,
Barua pepe: director.general@tie.go.tz S. L. P. 35094,
Unapojibu tafadhali taja: 14112 DAR ES SALAAM,

Kumb AB.17/83/01………. 20 Machi, 2024

Katibu Mkuu
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
Mji wa Serikali
Eneo la Mtumba
Mtaa wa Afya
S. L. P 10
40479 DODOMA

Yah: MABORESHO YA TAHASUSI KATIKA UTEKELEZAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI WA


WANAFUNZI WATAKAOJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA KUZINGATIA UTEKELEZAJI
WA MTAALA ULIOBORESHWA

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

2. Taasisi ya Elimu Tanzania imepokea barua yenye Kumb. CA.229/238/01A/14 ya


tarehe 14 Machi 2024, kuhusu mada tajwa hapo juu.

3. TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina
fani mbili. Pia, katika orodha hii TET imeongeza tahasusi zilizopitishwa kwa ajili ya
mkondo wa Amali. Vilevile, TET imependekeza kada kwa kila tahasusi kama
ilivyoelekezwa kwenye barua ya awali.

4. Naomba kuwasilisha kwako, Tahasusi pamoja na kada zake zilizopendekezwa


kama zilivyoambatanishwa kwenye Jedwali Na. 1 kwa hatua zaidi.

5. Wako katika ujenzi wa taifa.

Dkt. Aneth Komba


MKURUGENZI MKUU

1
Jedwali Na 1. Tahasusi za Masomo na Kada zake

A: Tahasusi za Sayansi ya Jamii


Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
History, Geography and Kiswahili
1 Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi,
(HGK)
Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi
History, Geography and English
2 wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
Language (HGL)
ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
History, Geography and French
3 Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
(HGF)
ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
History, Kiswahili and English Ualimu, Archeology, Sheria, Ukalimani, Uandishi
4
Language (HKL) wa Habari, Rasilimaliwatu
Ualimu, Archeology, Uchumi, Rasilimaliwatu,
History, Geography and
5 Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi,
Economics (HGE)
Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
History, Geography and Arabic
6 Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
(HGAr)
ardhi
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
History, Geography and Chinese
7 Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
(HGCh)
ardhi
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
History, Geography and Fasihi
8 Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi,
ya Kiswahili (HGFa)
Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi
History, Geography and
9 wa Habari, Rasilimaliwatu,Uthamini majengo na
Literature in English (HGLi)
ardhi,Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu

B: Tahasusi za Lugha

Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi


Kiswahili, English Language and
10 wa Habari, Rasilimaliwatu, Ugavi, Ukutubi,
French (KLF)
Utunzaji wa Kumbukumbu
Kiswahili, English Language and Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
11
Arabic (KLAr) wa Habari, Rasilimaliwatu
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
Kiswahili, English Language and
12 wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
Chinese (KLCh)
ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu

2
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
Kiswahili, Arabic and Chinese
13 wa Habari, Rasilimaliwatu, , Ukutubi, Utunzaji
(KArCh)
wa Kumbukumbu
Kiswahili, Arabic and French Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari,
14
(KArF) Rasilimaliwatu
English Language, French and Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari,
15
Arabic (LFAr) Rasilimaliwatu
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari,
English Language, French and
16 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Chinese (LFCh)
Kumbukumbu
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari,
French, Arabic and Chinese
17 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(FArCh)
Kumbukumbu
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
History, English Language and
18 wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
French (HLF)
Kumbukumbu
History, English Language and Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
19
Arabic (HLAr) wa Habari, Rasilimaliwatu,
Business Studies, English Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
20
Language and French (BuLF) Habari, Rasilimaliwatu
French, English Language and Ualimu, Uchumi, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
21
Economics (FLE) Habari, Rasilimaliwatu
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi
History, English Language and
22 wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Chinese (HLCh)
Kumbukumbu

C: Business Studies

Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,


Economics, Business Studies and Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public
23 relations), Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
Accountancy (EBuAc)
ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi, Urubani,
Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi,
Economics, Geography and Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari,
24
Mathematics (EGM) Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu,
Uthamini majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji
wa Kumbukumbu
Ualimu, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu, Upimaji
ardhi, Ukadiriaji majenzi, Usanifu majengo,
Economics, Computer Science
25 Ugavi, Mipango, Rasilimaliwatu, Uthamini
and Mathematics (ECsM)
majengo na ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu

3
Ualimu, Biashara, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu,
Business Studies, Accountancy
26 Ugavi, Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari,
and Computer Science (BuAcCs)
Uhusiano (public relations), Rasilimaliwatu, ,
Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu

Ualimu, Biashara, Uchumi, Uhasibu, Ugavi,


Business Studies, Accountancy
27 Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public
and Mathematics (BuAcM)
relations), Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na
ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu
Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Mipango, , Uandishi wa Habari, Uhusiano (public
Economics, Business Studies and
28 relations), Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Islamic Knowledge (EBuI)
Kumbukumbu

Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,


Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (public
Economics, Business Studies and
29 relations), Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Divinity (EBuD)
Kumbukumbu

Mathematics, Economics and


30 Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Business Studies and (MEBu)
Mipango, Uthamini majengo na ardhi
Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Business Studies, Economics and
31 Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini
English Language (BuEL)
majengo na ardhi
Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Business Studies, Economics and
32 Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini
Chinese (BuEChi)
majengo na ardhi
Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Business Studies, Economics and
33 Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini
Arabic (BuEAr)
majengo na ardhi
Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi,
Business Studies, Economics and
34 Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini
French (BuEF)
majengo na ardhi

D: Tahasusi za Sayansi

Ualimu, Uhandisi, Ufamasia, Urubani, Uchumi,


Physics, Chemistry and Uhasibu, Upimaji ardhi, Usanifu majengo,
35
Mathematics (PCM) Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini
majengo na ardhi

Physics, Chemistry and Biology Ualimu, Uhandisi, Udaktari, Uuguzi, Ufamasia,


36
(PCB) Teknolojia ya Maabara, Urubani, Upimaji ardhi,
Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi,
4
Mipango, Uthamini majengo na ardhi
Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia, Unajimu,
Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Uhasibu,
Physics Geography and
37 Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji
Mathematics (PGM)
majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na
ardhi
Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia, TEHAMA,
Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Uhasibu,
Physics, Mathematics Computer
38 Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji
Science (PMCs) and
majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na
ardhi
Chemistry, Biology and Ualimu, Kilimo, Uhandisi, Udaktari wa mifugo,
39
Agriculture (CBA) Teknolojia ya Maabara
Chemistry, Biology and Food and
40
Human Nutrition (CBN) Ualimu, Afya, Teknolojia ya Maabara, Lishe
Ualimu, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya
Chemistry, Biology and
41 Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu majengo,
Geography (CBG)
Ukadiria majenzi
Ualimu, Kilimo, Teknolojia ya Maabara, Sayansi
Agriculture, Biology and
42 ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu
Economics
majengo, Ukadiria majenzi

E: Tahasusi za Muziki

Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,


Music, Arabic and English
43 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language (MuArL)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Fasihi ya Kiswahili, English
44 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language and Music (FaLMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
French, English Language and
45 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Music (FLMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, English Language and
46 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Music (KLMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
English Language, Chinese and
47 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Music (LChMu)
Kumbukumbu

F: Tahasusi za Michezo

5
Biology, Food and Human
48
Nutrition and Sports (BNS) Ualimu, Michezo, Afya, Lishe
Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa
Sports, Arabic and English
49 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language (SArL)
Kumbukumbu
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani, Uandishi wa
Fasihi ya Kiswahili, English
50 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language and Sports (FaLS)
Kumbukumbu
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani, Uandishi wa
French, English Language and
51 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Sports (FLS)
Kumbukumbu
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani, Uandishi wa
Kiswahili, English Language and
52 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Sports (KLS)
Kumbukumbu
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani, Uandishi wa
English Language, Chinese and
53 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Sports (LChS)
Kumbukumbu

G: Tahasusi za Sanaa

Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,


Kiswahili, English Language and
54 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Theatre Arts (KLT)
Kumbukumbu
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, French and Theatre
55 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Arts (KFT)
Kumbukumbu
Fasihi ya Kiswahili, English Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
56 Language and Theatre Arts Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(FaLT) Kumbukumbu
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, Literature in English
57 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
and Theatre Arts (KLiT)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, English Language and
58 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Music (KLMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, French and Music
59 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(KFMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Fasihi ya Kiswahili, English
60 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language and Music (FaLMu)
Kumbukumbu
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, Literature in English
61 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
and Music (KLiMu)
Kumbukumbu

6
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, English Language and
62 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Fine Art (KLFi)
Kumbukumbu
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, French and Fine Art
63 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(KFFi)
Kumbukumbu
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Fasihi ya Kiswahili, English
64 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language and Fine Art (FaLFi)
Kumbukumbu
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Kiswahili, Literature in English
65 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
and Fine Art (KLiFi)
Kumbukumbu
Kiswahili, Textile and Garment Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi,
66 Construction and Fine Art Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa
(KTeFi) Kumbukumbu
English Language, Textile and Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi,
67 Garment Construction and Fine Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa
Art (LTeFi) Kumbukumbu
Arabic, Textile and Garment Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi,
68 Construction and Fine Art Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa
(ArTeFi) Kumbukumbu
Chinese, Textile and Garment Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi,
69 Construction and Fine Art Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa
(ChiTeFi) Kumbukumbu

H: Tahasusi za Elimu ya Dini

Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,


Islamic Knowledge, History and
70 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Geography (IHG)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Islamic Knowledge, History and
71 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Arabic (IHAr)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Islamic Knowledge, History and
72 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
English Language (IHL)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Islamic Knowledge, History and
73 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Kiswahili (IHK)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Divinity, History and Geography
74 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(DHG)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Divinity, History and English
75 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language (DHL)
Kumbukumbu
7
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Divinity, History and Kiswahili
76 Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
(DHK)
Kumbukumbu
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Divinity, Kiswahili and English
77 Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Language (DKL)
Kumbukumbu

I: Tahasusi za Utalii

Geography, Tourism and


78
Kiswahili (GTK) Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari
Geography, Tourism and English Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
79
Language (GTL) Ukalimani
Geography, Tourism and French Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
80
(GTF) Ukalimani
Geography, Tourism and Arabic Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
81
(GTAr) Ukalimani
Geography, Tourism and Chinese Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
82
(GTChi) Ukalimani
History, Tourism and Kiswahili
83
(HTK) Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari
History, Tourism and English Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
84
Language (HTL) Ukalimani
History, Tourism and French Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
85
(HTF) Ukalimani
History, Tourism and Arabic Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
86
(HTA) Ukalimani
History, Tourism and Chinese Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
87
(HTC) Ukalimani
Tourism, English Language and Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari,
88
French (TLF) Ukalimani, Uandishi wa Habari

You might also like

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy