Kiswahili13 20
Kiswahili13 20
Tenses
Tenses [wakati/nyakati]
There are five major tenses in Swahili:
A). Present [wakati uliopo]
B). Present Perfect [wakati uliopo hali timilifu]
C). Past [wakati uliopita]
D). Future [wakati ujao]
E). Habitual [wakati wa mazoea]
A). Numbers
0-9
sifuri [zero]
moja [one]
mbili [two]
tatu [three]
nne [four]
tano [five]
sita [six]
saba [seven]
nane [eight]
tisa [nine]
kumi (0)
kumi [ten]
kumi na moja [11]
kumi na mbili [12]
kumi na tatu [13]
kumi na nne [14]
kumi na tano [15]
kumi na sita [16]
kumi na saba [17]
kumi na nane [18]
kumi na tisa [19]
ishirini [20]
thelathini [30]
arobaini [40]
hamsini [50]
sitini [60]
sabini [70]
themanini [80]
tisini [90]
mia (00)
mia; mia moja [100]
mia mbili [200]
mia tatu [300]
mia nne [400]
mia tano [500]
mia sita [600]
mia saba [700]
mia nane [800]
mia tisa [900]
elfu (000)
elfu; elfu moja [1,000]
elfu mbili [2,000]
elfu tatu [3,000]
elfu nne [4,000]
elfu tano [5,000]
elfu sita [6,000]
elfu saba [7,000]
elfu nane [8,000]
elfu tisa [9,000]
laki moja; elfu mia moja [100,000]
laki mbili; elfu mia mbili [200,000]
laki tatu; elfu mia tatu [300,000]
laki nne; elfu mia nne [400,000]
laki tano; elfu mia tano [500,000]
laki sita; elfu mia sita [600,000]
laki saba; elfu mia saba [700,000]
laki nane; elfu mia nane [800,000]
laki tisa; elfu mia tisa [900,000]
milioni (000,000)
milioni; milioni moja [1,000,000]
milioni mbili [2,000,000]
milioni tatu [3,000,000]
milioni nne [4,000,000]
milioni tano [5,000,000]
milioni sita [6,000,000]
milioni saba [7,000,000]
milioni nane [8,000,000]
milioni tisa [9,000,000]
bilioni (000,000,000)
bilioni; bilioni moja [1,000,000,000]
bilioni mbili [2,000,000,000]
bilioni tatu [3,000,000,000]
bilioni nne [4,000,000,000]
bilioni tano [5,000,000,000]
bilioni sita [6,000,000,000]
bilioni saba [7,000,000,000]
bilioni nane [8,000,000,000]
bilioni tisa [9,000,000,000]
Mifano:
Mifano:
1. mwanafunzi mmoja [one student]
2. wanafunzi wawili [two students]
3. wanafunzi sita [six students]
4. wanafunzi ishirini na watatu [twenty three students]
5. wanafunzi thelathini [thirty students]
6. kiti kimoja [one chair]
7. viti viwili [two chairs]
8. viti sita [six chairs]
9. viti ishirini na vitatu [twenty three chairs]
10. viti thelathini [students]
11. mti mmoja [one tree]
12. miti miwili [two trees]
13. miti sita [six trees]
14. miti ishirini na mitatu [twenty three trees]
15. miti thelathini [thirty trees]
Mifano zaidi:
1. walimu kumi na mmoja [one student]
2. viti kumi na moja [eleven chairs]
3. nyumba ishirini na mbili [twenty two houses]
4. macho matano [five eyes]
5. madarasa manane [eight classes]
6. rafiki kumi na watatu [thirteen friends]
7. pahali tisa [nine places]
8. Nilinunua kalamu nne. [I bought four pens.]
9. Nina paka wawili. [I have two cats.]
10.Nina dola/shilingi tano. [I have five dollars/shillings.]
11. Nina gari moja. [I have one car.]
12.Nina madarasa sita/saba/ [I have six/seven/eight/nine/ten classes.]
manane/tisa/kumi/etc.
13. Nilinunua viatu viwili. [I bought two shoes.]
14.Nina miaka mitano. [I am five years old.]
15. Nina miaka kumi na minane/kumi [I am eighteen/nineteen/twenty/twenty one/
na tisa/ ishirini/ ishirini na twenty two/ twenty three years old.]
mmoja/ ishirini na miwili/ ishirini
na mitatu.
16.Nina miaka mia moja na mmoja [I am one hundred and one years old.]
Zingatia [Note]
mwaka/miaka [year/years]
-ngapi? [how many?]
Mingapi? [how many?]
nambari [number]
gani [what?]
ni [is]
huu [this]
wangapi? [how many?]
simu [telephone]
nambari ya simu [telephone number]
mwaka [year]
mwaka jana [last year]
mwaka kesho/ujao [next year]
mwaka huu/huu mwaka [this year]
Question Formation
Mifano:
I. STATING NUMBERS OF SIBLINGS:
1. Una kaka wangapi?
[How many brothers do you have?]
a). Nina kaka mmoja na dada mmoja. [I have one brother and one sister.]
b). Nina kaka mmoja na dada wawili. [I have one brother and two sisters.]
c). Sina kaka lakini nina dada sita. [I don’t have brothers but I have six
sisters.]
d). Sina kaka. [I have no brother.]
e). Sina dada. [I have no sister.]
Fractions
nusu [half]
theluthi / thuluthi [a third]
robo [a quarter]
humusi [a fifth]
sudusi / sudusu [a sixth]
subui [a seventh]
thumuni [an eighth]
tusui [a ninth]
ushuri [a tenth]
robo tatu [three quarters]
thuluthi mbili [two thirds]
humusi nne [four fifths]
subui mbili [two sevenths]
thumuni tatu [three eighths]
sudusi tano [five sixths]
tusui nane [eight ninths]
ushuri tisa [nine tenths]
subui sita [six sevenths]
ushuri tatu [three tenths]
thumuni mbili [two eighths]
Zingatia [Note]
asilimia [percentage]
Sentence Formation
Mifano:
1. Darasa la Kiswahili lina wanafunzi thuluthi mbili leo.
[The Kiswahili class has two thirds of the students today.]
2. Nitalipa ushuri tatu wa mshahara wangu wote.
[I will pay three tenths of my whole salary.]
3. Wanafunzi robo tatu wa KU ni wanawake.
[Three quarters of the KU students are women.]
4. Nusu ya idadi ya watu Marekani ni maskini.
[Half of the American population is poor.]
5. Nimekula humusi moja ya ndizi.
[I have eaten a fifth of the banana.]
Lesson 15:
Days of the Week
Days of the Week [siku za juma/wiki]
The days of the week follow the Muslim weekly pattern of worship, where Saturday is
considered the first day of the week. Since Friday is the main day of worship, it is
regarded as the last day of the week.
Jumamosi [day one, Saturday]
Jumapili [day two, Sunday]
Followed by:
Jumatatu [day three, Monday]
Jumanne [day four, Tuesday]
Jumatano [day five, Wednesday]
And finally:
Alhamisi [day six, Thursday]
Ijumaa [day seven, last day of the week, Friday]
A). Vocabulary
siku [day]
juma; wiki [week]
Jumatatu [Monday]
Jumanne [Tuesday]
Jumatano [Wednesday]
Alhamisi [Thursday]
Ijumaa [Friday]
Jumamosi [Saturday]
Jumapili [Sunday]
Zingatia [note]
juzi [day before yesterday]
jana [yesterday]
leo [today]
kesho [tomorrow]
kesho kutwa [day after tomorrow]
mtondo [three days away]
mtondogoo [four days away]
kitondo [five days away]
kitondo jogoo [six days away]
majuzi [three days ago]
juzijuzi [four days ago]
kitojo [five days ago]
kijomba [six days ago]
siku [day]
fanya [do]
Question Formation
Mifano:
1. Leo ni siku gani?
[What day is today?]
a). Leo ni siku ya Jumatatu. [Today is (the day of) Monday.]
b). Leo ni Jumatatu. [Today is Monday.]
c). Ni Jumatatu. [It’s Monday.]
Zingatia [note]
tarehe [date]
mwezi/miezi [month(s)]
mwaka/miaka [year(s)]
zaliwa [to be born]
lini [when]
Question Formation
Mfano:
1. Ulizaliwa lini?
[When were you born?]
Nilizaliwa tarehe mbili, mwezi wa tisa, mwaka wa elfu moja mia tisa
themanini na tano.
[I was born September 2, 1985.]
Lesson 17:
Time
Time [saa]
Most languages of Eastern Africa tell the time of the day by referring to 12 hours of day
time and 12 hours of night time:
7:00 am is referred to as saa moja asubuhi to mean that it is the first hour of the day.
7:00 pm is called saa moja usiku to indicate that it is the first hour of the night.
B). Vocabulary
asubuhi [morning]
mchana [afternoon]
adhuhuri [midday]
alasiri [late afternoon/early evening]
jioni/machweo/machwa/ [evening]
magharibi
mafungia ngombe [between evening and 11 pm]
usiku [night]
usiku mchanga [between 7 pm and 11 pm]
usiku mkuu/usiku wa [between midnight and 3 am]
manane
majogoo [between 3 am and 4 am]
machweo/mawio/ [early morning, pre-dawn]
mapambazuko
alfajiri [dawn]
mafungulia ngombe [between 8 am and 11 am]
Zingatia [Note]
saa [time]
ngapi? [what?]
Saa ngapi? [What time?]
sasa [now]
Question Formation
Mifano:
1. Ni saa ngapi sasa / sasa ni saa ngapi?
[What is the time now?]
a). Sasa ni saa mbili asubuhi. [Now it is 8:00 am.]
b). Ni saa mbili asubuhi. [It is 8:00 am.]
2. Ni saa ngapi?
[What is the time?]
Ni saa tatu usiku. [It is 9:00 pm.]
A). Vocabulary
kosi [course]
ratiba [schedule]
ratiba ya kila siku [daily schedule]
desturi; shughuli [routine]
desturi/shughuli za kila siku [daily routine]
robo [quarter]
semesta [semester]
muhula [term]
hadi/mpaka [until]
A). Foods
Chakula / vyakula [food / foods]
mboga / mboga [vegetable / vegetables]
dengu / dengu [mung bean / lentils]
jibini / jibini [cheese / cheeses]
kabeji / kabeji; [cabbage / cabbages]
kabichi
kiazi / viazi [potato / potatoes]
maharagwe / mandondo [bean / beans]
maharagwe / mandondo
mahindi [maize / corn]
mahindi ya kuchoma [roasted maize / corn]
mbaazi / mbaazi [pea / peas]
mchele [uncooked rice]
wali [cooked rice]
mchicha / michicha [spinach / spinaches]
mchuzi / michuzi [soup / soups]
muhogo / mihogo [cassava / cassavas]
nyama / nyama [meat / meats]
nyama ya kondoo [mutton]
nyama ya kuku [chicken meat]
nyama ya mbuzi [goat meat]
nyama ya ng'ombe [beef]
nyama ya nguruwe [pork]
nyama ya kuchoma [roasted/grilled meat]
kuku [chicken]
samaki [fish]
pilipili [pepper]
pilipili hoho [chili pepper]
pilipili manga [black pepper]
pilipili saumu [pepper garlic]
pilipili kichaa [hot pepper]
siagi [butter]
sukuma wiki [collard greens]
unga [flour]
unga wa mahindi [corn flour]
unga wa ngano [wheat flour]
yai / mayai [egg / eggs]
vitafunio; karanga [snacks]
mkate / mikate [bread / breads]
mandazi / mandazi [bun / buns]
sandwichi [sandwich]
kimanda [toast]
chapati / chapati [Indian flat bread]
ugali / sima [stiff cornmeal porridge]
njugu / njugu [groundnut / peanuts]
karoti / karoti [carrot / carrots]
choroko [green peas]
njegere [pigeon peas]
bamia [okra]
kisamvu [cassava leaves]
figo/figo [kidney / kidneys]
maini / maini [liver / livers]
matumbo / matumbo [intestine / intestines / tripe]
mbatata [Irish potatoes]
biringani / biringanya [eggplant / eggplants]
mabiringani
saladi [salad]
brokoli [broccoli]
pasta [pasta]
pizza [pizza]
pipi [candy]
chokoleti [chocolate]
isikirimu [ice cream]
keki [cake]
mgando [yoghurt]
mchanganyiko [mixture]
supu [soup]
uyoga [mushroom]
uji [porridge]
muhogo / mihogo [cassava / cassavas]
viazi vikuu [sweet potatoes]
kaimati / kaimati [fritter / fritters]
pilau / pilau [pilaf / pilafs]
sambusa / sambusa [samosa / samosas]
kande / pure [dish of mixed corn and beans]
ndizi / matoke [banana / plantain /
ndizi / matoke bananas / plantains]
kibanzi / vibanzi / [french fries]
chipsi
borohoa / kihembe [thick broth of cooked beans]
borohoa / vihembe
Zingatia [Note]
na [and]
pia [also; too]
lakini [but]
Question Formation
Mifano:
1. Wewe unapenda kula chakula gani?
[What food do you like to eat?]
a). Mimi ninapenda kula ___. [I like to eat ___.]
b). Mimi sipendi ___. [I do not like ___.]