Content-Length: 161481 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/6_Oktoba

6 Oktoba - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

6 Oktoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 6 Oktoba ni siku ya 279 ya mwaka (ya 280 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 86.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bruno Mkartusi, Sagari, Fides wa Agen, Renato wa Sorrento, Romano wa Auxerre, Magnus wa Oderzo, Iwi, Yohane Xenos, Pardulfi, Artaldo, Maria Fransiska wa Madonda Matano, Fransisko Tran Van Trung n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 6 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/6_Oktoba

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy