Content-Length: 60738 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Kidogon,_Donno_So

Kidogon, Donno So - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kidogon, Donno So

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidonno-So ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidonno imehesabiwa kuwa watu 45,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidonno iko katika kundi la Kidogon.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogon, Donno So kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Kidogon,_Donno_So

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy