Nenda kwa yaliyomo

Adam Gemili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:10, 25 Septemba 2021 na Husseyn Issa (majadiliano | michango) (Anzisha Makala)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Adam Gemili (alizaliwa oktoba 6 mwaka 1993)[1], ni mwanariadha kutoka nchini Uingereza,na ni mshindi wa michuano  ya ulaya ya mwaaka 2014 katika  mbio za mita 200 na mita 4 x 100 ya kupeana vijiti .Lakini pia ni sehemu ya imu ya uingereza iliyo shinda dhahabu mnamo mwaka 2017 katika michuano ya dunia.

Alikuwa mwanariadha mwingereza wa  kwanza kushiriki mashindano ya mita 100 ya vipande kumi na ya  mita 200 ya vipande ishirini[2].

Aliwahi kupata medali ya fedha katika mita 100 na mita 4 × 100 ya kupeana vijiti mwano mwaka 2014 katika michezo ya Jumuia ya madola. Gemili pia aliwahi kuwa bingwa wa zamani wa Dunia kwa vijana katika mita 100 na michezo ya uingereza ya wenye umri wa chini ya miaka 23 katika mita 100 na 4 × 100.


Marejeo

  1. "Adam Gemili". www.teamgb.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-09-25.
  2. "Gemili runs his first sub-10 100m", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2021-09-25
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy