Nenda kwa yaliyomo

Alama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:57, 1 Machi 2024 na Quinlan83 (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 165.231.45.106 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Alama asili katika mazingira inayodokeza na kuthibitisha uwepo wa mtu hivi karibuni.
Alama ya hatari ya kibiolojia haihusiani nayo kabisa.

Alama (kwa Kiingereza "sign"[1]) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.

Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.[2]


Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.[3]

Ishara za Zodiac za Magharibi
Ishara kwenye pwani huko Durban katika enzi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini inaonyesha pwani ya ubaguzi wa rangi.[4]
  1. New Oxford American Dictionary
  2. "Roderick M. Chisholm "Sextus Empiricus and Modern Empiricism" Philosophy of Science, Jul., 1941, Vol. 8, No. 3 pp. 371-372". JSTOR 184308.
  3. Woo, B. Hoon (2013). "Augustine's Hermeneutics and Homiletics in De doctrina christiana". Journal of Christian Philosophy. 17: 103–106.
  4. "Roderick M. Chisholm "Sextus Empiricus and Modern Empiricism" Philosophy of Science, Jul., 1941, Vol. 8, No. 3 pp. 371-372". JSTOR 184308.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy