Nenda kwa yaliyomo

Beda Mheshimiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:04, 3 Aprili 2009 na TXiKiBoT (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: th:นักบุญบีด)

Bede Mheshimiwa (takriban 672 au 673 – 25 Mei, 735) alikuwa mwanatheolojia na mwanahistoria kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anafahamika kwa kitabu chake “Historia ya kikanisa ya taifa la Waingereza” (kwa Kilatini: Historia ecclesiastica gentis Anglorum). Mwaka wa 1899 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 25 Mei.

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy