Nenda kwa yaliyomo

Den Haag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:07, 24 Novemba 2011 na ChuispastonBot (majadiliano | michango) (r2.7.1) (roboti Nyongeza: hy:Հաագա)
Mahali pa Den Haag

Den Haag (Kiholanzi pia: 's-Gravenhage) mji mkubwa wa tatu wa Uholanzi baada ya Amsterdam na Rotterdam. Kuna wakazi 472,087 (January 1 2005) kwenye eneo la 100 km². Iko upande wa magharibi ya nchi katika jimbo la Uholanzi ya Kusini pia ni ,akao makuu ya jimbo hilo.

Mji mkuu hali halisi

Hali halisi Den Haag ina nafasi na wajibu nyingi za mji mkuu hata kama cheo hiki kimetengwa kwa Amsterdam. Lakini Den Haag ni makao ya serikali, makao ya bunge, makao ya mahakama kuu pia makao ya mfalme au malkia tangu 1831. Balozi zote za nje ziko hapa pia.

Taasisi za Kimataifa

Den Haag ni makao ya taasisi 150 za kimataifa. Hii ni tokeo la siasa ya Uholanzi ya miaka mingi ya kutoshikamana na upande wowote.

Kati ya taasisi zinazojulikana zaidi ni:

Picha za Den Haag

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Den Haag kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy