Andrea Neil
Mandhari
Andrea Neil (alizaliwa Vancouver, British Columbia, 26 Oktoba 1971) ni miongoni mwa waanzilishi wa soka la wanawake nchini Kanada. Neil alistaafu kutoka kwa mchezo huo baada ya kuiwakilisha Kanada zaidi kuliko mchezaji yeyote mwingine wa Kanada katika historia.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "BC Sports Hall of Fame". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-13. Iliwekwa mnamo 2015-05-03.
- ↑ "Canada's Sports Hall of Fame". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-24. Iliwekwa mnamo 2012-08-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrea Neil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |