Anna Patten
Mandhari
Anna Rose Patten (alizaliwa 20 Aprili 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ireland ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [3]. Anna ni mzaliwa wa Uingereza, ni miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Football Association. "Anna Patten: England profile". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "Anna Patten". University of South Carolina Athletics (kwa American English). 2019-06-24. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "Anna Patten leaves club". Anna Patten leaves club (kwa Kiingereza). 2024-04-23. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ Limegreentangerine. "REPORT | France 1-0 Ireland WNT". www.fai.ie (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anna Patten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |