Nenda kwa yaliyomo

Björn Engels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Björn Engels
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUbelgiji Hariri
Nchi anayoitumikiaUbelgiji Hariri
Jina katika lugha mamaBjörn Engels Hariri
Jina la kuzaliwaBjörn Lionel G. Engels Hariri
Jina halisiBjörn Hariri
Jina la familiaEngels Hariri
Tarehe ya kuzaliwa15 Septemba 1994 Hariri
Mahali alipozaliwaKaprijke Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiholanzi Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Muda wa kazi2012 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoClub Brugge K.V., Club Brugge K.V., Timu ya Taifa ya Kandanda ya Ubelgiji, Olympiacos F.C., Stade de Reims Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji4 Hariri

Björn Lionel G. Engels (amezaliwa Kaprijke, Ubelgiji, 15 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ubelgiji ambaye anacheza kama beki wa kilabu cha Ligi ya Uingereza, ston Villa.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Club Brugge

[hariri | hariri chanzo]

Engels alichezea FC Kaprijke-Bentille kwanza, FC Lembeke na Lokeren akiwa kijana. Mnamo 2006, akiwa na umri wa miaka 12, alijiunga na Club Brugge.

Baada ya kusonga mbele katika safu ya taaluma hiyo, Engels alionekana kama mbadala aliyetumiwa, katika mechi dhidi ya Gent tarehe 29 Oktoba 2011, ambayo iliona Club Brugge ikishinda 5-4.Mnamo tarehe 20 Septemba 2012, aliwekwa kwenye kikosi cha kwanza kwenye Ligi ya UEFA Europa dhidi ya Girondins de Bordeaux . Na baadae Engels alisaini mkataba wake wa kwanza na Club Brugge kwa kuichezea kwa miaka 3.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Björn Engels kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy