Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kigumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kigumo ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya, mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Kariuki Karanja Njiiri KANU Mfumo wa Chama kimoja
1969 Munene J. F. C. KANU Mfumo wa Chama kimoja
1974 Njuguna Mwangi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1979 Njuguna Mwangi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1983 Francis Mwangi Thuo KANU Mfumo wa Chama kimoja
1988 Francis Mwangi Thuo KANU Mfumo wa Chama kimoja
1992 John B. Kirore Mwaura Ford-Asili
1997 Onesmus Kihara Mwangi Democratic Party (DP)
2002 Onesmus Kihara Mwangi NARC
2007 Jamleck Irungu Kamau PNU

Eneo bunge hili lina wadi tatu, zote ambazo huchagua madiwani katika Baraza la Mji wa Marague.

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Kigumo 15,392
Kinyona 22,434
Muthithi 17,961
Jumla 55,787
*Septemba 2005 | [2]
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy