Nenda kwa yaliyomo

Fawzia Koofi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fawzia Koofi
Koofi akizungumza katika Chatham House mnamo 2012
Koofi akizungumza katika Chatham House mnamo 2012
Nchi Afghanistan
Kazi yake mwanaharakati

Fawzia Koofi (kwa Kiajemi: فوزیه کوفی; alizaliwa 1975)[1] ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake wa nchini Afghanistan.

Mwenye asili ya watu wa Jimbo la Badakhshan, Koofi mbunge wa zamani wa Kabul na alikuwa Makamu wa rais wa Bunge la Kitaifa, pia mjumbe wa majadiliano ya amani ya Afghanistan na kundi la Taliban huko Doha, Qatar.

  1. "Fawzia, un défi aux talibans". LEFIGARO (kwa Kifaransa). 2011-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fawzia Koofi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy