Gerhard Herzberg
Mandhari
'
Gerhard Herzberg | |
---|---|
erhard Herzberg, London 1952 | |
Amezaliwa | 25 Desemba 1904 |
Amefariki | 3 Machi 1999 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani |
Gerhard Herzberg (25 Desemba 1904 – 3 Machi 1999) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1935 alihamia Kanada. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gerhard Herzberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |