Irmina wa Trier
Mandhari
Irmina wa Trier (Trier, leo nchini Ujerumani, karne ya 7 - Wissembourg, leo nchini Ufaransa, 716) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, labda baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano[1], alianzisha monasteri huko Oehren akaiendesha kama abesi hadi kifo chake[2].
Alimfadhili sana Wilibrodi katika umisionari wake na kutoa kwa ukarimu mali yake hata kwa wengine.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Desemba[3]..
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Christian Settipani, Les Ancêtres de Charlemagne, Paris, Société atlantique d'impression, 1989, 170 p. ISBN 2-906483-28-1.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/82950
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Irmina of Trier, abbess and saint (German) Ilihifadhiwa 28 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine. Accessed 17 December 2011
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |