Kanisa Katoliki la Waeritrea
Mandhari
Kanisa Katoliki la Waeritrea tangu tarehe 19 Januari 2015 ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Linafuata mapokeo ya Aleksandria na kutumia liturujia ya Misri.
Limeenea hasa nchini Eritrea, likiwa na waamini 155,480 (2015).[1]
Mkuu wake ni askofu mkuu wa Asmara.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Erezione della Chiesa Metropolitana sui iuris eritrea e nomina del primo Metropolita". Holy See Press Office. Januari 19, 2015. Iliwekwa mnamo Januari 19, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- [1] Ilihifadhiwa 5 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Papa Yohane Paulo II Orientale Lumen kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches Ilihifadhiwa 25 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo Ilihifadhiwa 17 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo Ilihifadhiwa 9 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo Ilihifadhiwa 27 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Waeritrea kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |