Kiandaandi
Mandhari
Kiandaandi au Kidongola ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wadongola. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiandaandi imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiandaandi iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiandaandi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiandaandi Ilihifadhiwa 9 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- http://www.ethnologue.com/language/dgl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiandaandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |