Nenda kwa yaliyomo

Lucas Biglia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucas Rodrigo Biglia (alizaliwa 30 Januari 1986) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza klabu ya Italia AC Milan kama kiungo.

Biglia alianza kazi yake katika chuo cha Argentinos Juniors na alisaini mkataba wake wa kwanza wa soka la kulipwa mwaka 2004 na klabu ya Anderlecht.

Biglia akiwa na Lionel Messi katika fainali ya kombe la Dunia la 2014.

Mnamo tarehe 23 Julai 2013, alihamia katika klabu ya Lazio, ilitangazwa kuwa Biglia atasaini mkataba wa miaka mitano kwa ada milioni 8.4. Mwezi Julai 2017, ilitangazwa klabu ya Lazio na AC Milan zimefanya makubaliano ya Biglia kujiunga na Milan. Makubaliano hayo yalikuwa ya kumuweka Biglia mpaka 2020 kwa ada ya € milioni 17.

As of match played 6 May 2019[1]
Klabu Msimu Ligi Cup Bara Jumla
Kucheza Magoli Kucheza Magoli Kucheza Magoli Kucheza Magoli
Independiente 2005–06 7 0 0 0 0 0 7 0
Anderlecht 2006–07 33 1 7 0 6 0 46 1
2007–08 30 1 8 0 11 0 49 1
2008–09 32 2 2 0 1 1 35 3
2009–10 34 1 2 1 12 2 48 4
2010–11 26 0 2 0 7 0 35 0
2011–12 30 2 1 0 7 0 38 2
2012–13 36 5 5 0 10 0 51 5
Jumla 221 12 27 1 54 3 302 16
Lazio 2013–14 26 2 2 0 4 0 32 2
2014–15 27 3 4 1 0 0 31 4
2015–16 27 4 3 0 6 1 36 5
2016–17 29 4 5 1 34 5
Jumla 109 13 14 2 10 1 133 16
Milan 2017–18 28 1 4 0 5 0 37 1
2018–19 16 1 1 0 2 0 19 1
Jumla 44 2 5 0 7 0 56 2
Jumla 441 27 46 3 71 4 500 34

Timu ya taifa

[hariri | hariri chanzo]
As of 16 June 2018 [1]
Argentina
Mwaka Kucheza Magoli
2011 6 0
2012 1 0
2013 9 0
2014 12 0
2015 10 1
2016 11 0
2017 6 0
2018 3 0
Jumla 58 1

Magoli timu ya taifa

[hariri | hariri chanzo]
No. Date Venue Opponent Score Result Competition
1
17 November 2015 Estadio Metropolitano Roberto Meléndez, Barranquilla, Colombia  Kolombia
1–0
1–0
2018 FIFA World Cup qualification

Anderlecht[1]

Argentina Youth[1]

Argentina

Individual

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 "Argentina – L. Biglia – Profile with news, career statistics and history". Soccerway. Perform Group. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Biglia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy