Majadiliano ya kigezo:Mto
Mandhari
Templeti hii inawezesha kutenga sanduku la habari za mto, kama ile katika makala ya Elbe.
Templeti hii ina sehemu zinazofuata:
- jina (jina la mto; liwe sawa na jina la makala)
- picha
- maelezo_ya_picha
- chanzo (taja eneo la chanzo cha mto)
- mlango (taja jina la bahari ambapo upo mlango wa mto)
- nchi (taja nchi zote ambazo mto unazipita)
- urefu (urefu wa mto)
- kimo (kimo cha chanzo cha mto)
- mkondo (kiasi cha maji yanayopita mtoni kila sekunde)
- eneo (kiasi cha eneo la bwawa)
Lazima uzitumie sehemu zote. Lazima utumie herufi ndogo. Angalia mfano wa Elbe.
Chanzo | MAHALI PA CHANZO |
Nchi | NCHI |
Urefu | UREFU km |
Kimo cha chanzo | KIMO m |
Mkondo | KIASI CHA MAJI m³/s |
Eneo la beseni | ENEO km² |
Start a discussion about Kigezo:Mto
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Kigezo:Mto.