6 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 6)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Oktoba ni siku ya 279 ya mwaka (ya 280 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 86.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1689 - Uchaguzi wa Papa Alexander VIII
- 1889 - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1862 - Albert Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutoka Marekani
- 1887 - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 1903 - Ernest Walton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 1937 - Mario Capecchi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 1949 - Bobby Farrell, mwimbaji wa Kijerumani kutoka Aruba
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1101 - Mtakatifu Bruno wa Cologne, padri mmonaki kutoka Ujerumani
- 1791 - Mtakatifu Maria Fransiska wa Madonda Matano, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1912 - Auguste Beernaert, mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1909
- 1951 - Otto Meyerhof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922
- 1973 - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1979 - Elizabeth Bishop, mshairi kutoka Marekani
- 1981 - Anwar Sadat, rais wa Misri, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971
- 2020 - Eddie Van Halen
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bruno Mkartusi, Sagari, Fides wa Agen, Renato wa Sorrento, Romano wa Auxerre, Magnus wa Oderzo, Iwi, Yohane Xenos, Pardulfi, Artaldo, Maria Fransiska wa Madonda Matano, Fransisko Tran Van Trung n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 6 Novemba 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |