Renato wa Sorrento
Mandhari
Renato wa Sorrento (alifariki 6 Oktoba 450 hivi) alikuwa askofu wa kwanza au wa pili wa mji huo kwenye pwani ya Mediteranea nchini Italia kuanzia mwaka 424 hadi kifo chake, ingawa wengine walisema alikuwa mkaapweke tu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |