Nenda kwa yaliyomo

Pedro Santana Lopes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pedro Santana Lopes

Pedro Santana Lopes (amezaliwa 29 Juni 1956) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ureno kuanzia 17 Julai 2004 hadi 12 Machi 2005.

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pedro Santana Lopes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy