Nenda kwa yaliyomo

Sue Bird

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa mpira wa Kikapu Sue Bird
Mchezaji wa mpira wa Kikapu Sue Bird

Suzanne Brigit Bird (alizaliwa 16 Oktoba 1980) ni Mmarekani mcheza mpira wa kikapu maarufu wa Seattle Storm katika shirika la wanawake la mpira wa kikapu(WNBA). Alichaguliwa na storm mwaka 2002 kuwa wa kwanza kwa (WNBA) na kuchukuliwa kama mchezaji mahiri kwenye historia ya (WNBA).[1]Mpaka kufikia 2021,Bird ni mchezaji pekee wa WNBA kushinda mataji matatu katika miongo mitatu tofauti.Anashikilia nafasi za juu kwenye timu ya Denver Nuggets kama msimamizi wa shughuli za mpira wa kikapu.Pia amechezea timu tatu tofauti huko Urusi.Familia yake inatokea Israeli lakini yeye ana uraia wa nchi zote mbili Marekani na Israeli.

  1. Suzanne Brigit Bird(alizaliwa oktoba 16,mwaka 1980)ni mmarekani mcheza mpira wa kikapu maarufu wa Seattle Storm katika shirika la wanawake la mpira wa kikapu(NBA).Alichaguliwa na storm mwaka 2002 kuwa wa kwanza kwa (WNBA) na kuchukuliwa kama mchezaji mahiri kwenye historia ya (WNBA).Mpaka kufikia 2021,Bird ni mchezaji pekee wa WNBA kushinda mataji matatu katika miongo mitatu tofauti.Anashikilia nafasi za juu kwenye timu ya Denver Nuggets kama msimamizi wa shughuli za mpira wa kikapu.Pia amechezea timu tatu tofauti huko Urusi.Familia yake inatokea Israeli lakini yeye ana uraia wa nchi zote mbili Marekani na Israeli.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sue Bird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy