Tasnifu
Mandhari
Tasnifu (Kiingereza thesis, dissertation) [1] ni maandiko ya kitaaluma yanayochanganua mada maalumu kwa ajili ya kupata shahada ya juu.
Hutolewa pale ambapo msomi analenga digrii ya kitaaluma akiwasilisha utafiti na matokeo yake. [2]
Katika miktadha mingine, neno "tasnifu" hutumiwa pia kwa kazi kubwa ya kimaandishi iliyo sehemu ya shahada ya awali au ya uzamili, lakini kwa kawaida hutumiwa kwa uzamivu.[3]
Ugumu au ubora wa utafiti unaohitajika kwa tasnifu inaweza kutofautiana na nchi, chuo kikuu, au somo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nieves-Whitmore, Kaeli. "Subject Guides: Citation Help: Dissertations & Theses". guides.lib.uiowa.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 15 Februari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ International Standard ISO 7144: Documentation—Presentation of theses and similar documents, International Organization for Standardization, Geneva, 1986.
- ↑ Douwe Breimer, Jos Damen et al.: Hora est! On dissertations, Leiden University Library, 2005.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- en.wikibooks.org/wiki/ETD Guide Guide to electronic theses and dissertations on Wikibooks
- Networked Digital Library of Theses and Dissertations (NDLTD)
- EThOS Database Ilihifadhiwa 24 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine. Database of UK Doctoral theses available through the British Library