Nenda kwa yaliyomo

Tokwato na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Tokwato katika mavazi ya kiaskofu.

Tokwato na wenzake Sesili, Ktesifoni, Eufrasi, Indaleti, Hesiki na Sekundi walikuwa maaskofu waliofanya umisionari sehemu mbalimbali za Hispania mwanzoni mwa Ukristo[1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa kila tarehe 1 Mei[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ? (n.d.). "San Torcuato y los 7 Varones Apostólicos". Aciprensa. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2008. {{cite web}}: |author= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "San Torquato Vescovo di Guadix". Santi e Beati. 6 Feb 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-14. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy