Turnaround
Turnaround | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Westlife | |||||
Imetolewa | Ulaya 24 Novemba 2003 Taiwan 28 Novemba 2003 Australia 30 Novemba 2003 |
||||
Imerekodiwa | 2003 | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 47:39 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Sony BMG | ||||
Mtayarishaji | Cutfather & Joe (track 12) Jacob Schulze (track 4) Karl Engstrom (track 4) Quiz & Larossi (track 5) Steve Mac (tracks: 1 to 3, 6 to 11, 13) |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Turnaround | |||||
|
Turnaround ni albamu ya nne ya bendi ya vijana ya Kiingereza, Westlife. Albamu ilitolewa mnamo tar. 24 Novemba 2003.
Single ya kwanza kutoka kwenye albamu ilikuwa "Hey Whatever". Kimsingi wimbo umegezewa kutoka kwa kundi la muziki wa orck la Kiere la Relish na kibao chao cha Rainbow Zephyr, lakini wamefanya mabadiliko kidogo tu kwenye upande wa mashairi na utofauti wa jina la wimbo. Single iliyofuata ilikuwa kibao cha Barry Manilow, "Mandy". Toleo la bendi hii ilitamba sana, imewapatia kibao chao cha 12 kuwa nafasi ya kwanza kwenye chati za Ufalme wa Muungano na kupewa tuzo ya rekodi ya mwaka ya Kiere. "Obvious", wimbo halisi, ulikuwa wa tatu na mwisho kutolewa kutoka kwenye albamu hii. Wimbo wa Turnaround ulitolewa kwenye mawimbi huko nchini Afrika Kusini na kushika nafasi ya #4. Turnaround uliuza takriban milioni 7.
"Turnaround" ilikuwa albamu ya mwisho kumshirikisha mwanachama wa zamani wa bendi hii, Bryan McFadden. Albamu ilikuwa ya 23 kwa mauzo bora katika mwaka wa 2003 huko nchini Uingereza.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Nyimbo Na. |
Jina | Washiriki | Urefu |
---|---|---|---|
1 | Mandy |
Umeuandaliwa na [Sauti za Nyuma] Steve Mac, Wayne Hector |
3:37 |
2 | Hey Whatever |
Choir:The Tuff Singers, Wayne Hector |
3:32 |
3 | Heal |
Sauti za Nyuma |
3:10 |
4 | Obvious |
Backing Sauti [Ziada]: |
3:33 |
5 | When a Woman Loves a Man |
Sauti za Nyuma |
3:38 |
6 | On My Shoulder |
Sauti [Ziada]: |
3:59 |
7 | Turn Around |
Engineer [Protools]: |
4:24 |
8 | I Did It for You | Umetungwa na: Diane Warren |
3:33 |
9 | Thank You |
Umetungwa na: |
4:06 |
10 | To Be With You |
Engineer [Drums]: |
3:22 |
11 | Home |
Umetungwa na: |
4:07 |
12 | Lost In You |
Percussion: |
3:37 |
13 | What Do They Know? |
Umeandaliwa na [Orchestral Arrangement]: |
3:20 |
14 | Never Knew I Was Losing You | Japanese Bonus Track | 3:45 |
Toleo la Juu la Asia
[hariri | hariri chanzo]Toleo la Asia lilijumlishwa na diski ya ziada na inajumlisha nyimbo kama:
Nyimbo Na. |
Jina | Muundo |
---|---|---|
1 | Mandy | Kipande cha Video |
2 | If I Let You Go | Kipande cha Video |
3 | My Love | Kipande cha Video |
4 | Flying Without Wings | Kipande cha Video |
5 | When You're Looking Like That | Kipande cha Video |
6 | Swear It Again | Kipande cha Video |
7 | I Have a Dream | Kipande cha Video |
8 | Seasons in the Sun | Kipande cha Video |
9 | Hey Whatever | Full Music Video |
Chati
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Nafasi iliyoshika |
Matunukio |
---|---|---|
Austria | 42 | - |
Denmark | 4 | - |
Ireland | 1 | - |
Netherlands | 33 | - |
New Zealand | 42 | - |
Norway | 37 | - |
Philippines | 1 | 3xPlatinum |
Sweden | 5 | Gold |
Switzerland | 24 | - |
Ufalme wa Muungano | 1 | 2x Platinum |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Turnaround kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |