WCB Wasafi
Wasafi Classic Baby (inayojulikana sana kwa ufupi wake: 'WCB'; wakati mwingine inatajwa kama WCB Wasafi)[1][2][3]. ni lebo ya rekodi ya Tanzania iliyoanzishwa na mwanamuziki Diamond Platnumz [4].
Wasanii
[hariri | hariri chanzo]WCB Wasafi imesaini idadi ya wasanii kutoka Tanzania ambao wamefanikiwa kupata muziki wao kote barani Afrika na baadhi yao hata wakiteuliwa kwenye tuzo za BET, Tuzo za Muziki za MTV Africa na AFRIMMA[5] MTV Africa Music Awards and AFRIMMA awards [6].
Wafanyakazi
[hariri | hariri chanzo]WCB Wasafi ina wafanyakazi 36 na hii ni pamoja na wasanii wote waliosainiwa chini ya lebo hiyo, producer (Laizer, Tuddy Thoma), wapigapicha, wasimamizi wa wasanii (Babu Tale, Sallam SK, Said Fella, Ricardo Momo, Makame Fumbwe, Joseph Oladugba King, Lukamba, Rayvanny, Mbosso, Zuchu, Lava Lava, Queen Darling), wacheza muziki (Dummy Utamu, Mose Iyobo, Zungu, Hbaajuni) na usimamizi mzima. Pamoja na Harmonize kuondoka lakini WCB inaendelea vizuri.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tanzania: Wasafi Classic Donates to Support Quality Education". Tanzania Daily News (Dar es Salaam). 2016-06-08. Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
- ↑ "VIDEO: Vigezo vya kujiunga na record label ya WCB ya Diamond Platnumz – Millardayo.com" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
- ↑ "SHOWBUZZ: Diamond Platnumz' brother reveals WCB label weakness". Daily Nation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
- ↑ Milimo, Dennis. "WCB Label: Why diamond Platinumz only signs musicians from poor background" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-02. Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "BET Awards 2017 | Best International Viewers' Choice | Nominees". BET.com. Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
- ↑ "Must Read! Diamond Platnumz's Emotional Congratulatory Message To Wasafi Singer Harmonize". Kiss FM (kwa American English). 2016-10-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-02. Iliwekwa mnamo 2018-03-24.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu WCB Wasafi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |